MAFAO KWA WANUFAIKA WA UFADHILI WA SMZ
6.1 Vipengele vya Mafao
| Na. | Mafao kwa wanufaika wa Ufadhili wa SMZ | Kiwango cha Malipo TZS |
|---|---|---|
| 1. | Ada ya masomo | Yote |
| 2. | Ada ya mitihani | Yote |
| 3. | Posho la chakula na malazi | 1.5M Zanzibar, 1.8M Tz Bara |
| 4. | Mahitaji maalum ya kitivo (Special faculty requirement) | Si zaidi ya 300,000 |
| 5. | Bima ya afya | 50,400 |
| 6. | Posho la vitabu na viandikwa (Stationery) | 200,000 |
| 7. | Mafunzo kwa vitendo | 300,000 |









