CHUO CHA AMANI CHA LUGHA YA ISHARA NA UKALIMANI
(Amani Institute of Sign Language and Interpretation)
Aina: Binafsi | Usajili: REG/BTP/210P
Mahali: Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Mbeya
Kozi Zinazopatikana:
Stashahada ya Kwanza katika Lugha ya Ishara na Ukalimani
(Ordinary Diploma in Sign Language and Interpretation)
Vigezo vya Kujiunga:
-
Wenye Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE) waliofaulu angalau masomo manne (4) yasiyo ya kidini ikijumuisha Kiingereza au Kiswahili
-
Wenye Stashahada ya Msingi ya Ufundi (NTA Level 4) katika Lugha ya Ishara na Ukalimani
Muda wa Programu: Miaka 3 (au 2 kwa walio na sifa za juu) | Uwezo: 50
Ada: TSH. 1,200,000/=







