Home RITA Jinsi ya Kuhakiki Cheti cha Kuzaliwa au Kifo RITA Online

Jinsi ya Kuhakiki Cheti cha Kuzaliwa au Kifo RITA Online

9
0

Fahamu jinsi ya Kuhakiki Cheti cha Kuzaliwa au Kifo RITA Online kwa matumizi mbalimbali kama kufanya maombi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB. RITA (Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini) inakusudia katika utoaji wa habari nzuri na thabiti juu ya matukio muhimu maishani, uunganishaji wadhamini, utunzaji wa mali chini ya udhamini, za mtu aliyefariki, muflisi, na watoto walio chini ya umri wa utu uzima ili kuwezesha sheria kuchukua mkondo wake.

Huduma zinazopatikana kidigitali RITA

1. Cheti cha Kuzaliwa
2. Cheti cha kuzaliwa cha zamani kwenda kipya
3. Uhakiki wa cheti cha Kuzaliwa
4. Cheti cha Kifo
5. Cheti cha kifo cha zamani kwenda kipya
6. Uhakiki wa cheti cha Kifo

Jinsi ya Kuhakiki Cheti cha Kuzaliwa au Kifo RITA Online

Tembelea Tovuti ya RITA: Anza kwa kutembelea tovuti rasmi ya RITA kupitia anwani www.rita.go.tz.

Ukiwa katika tovuti ya RITA, bofya kitufe cha “eRITA” ili kuingia kwenye lango la huduma za kidigitali.

Chagua Huduma ya Kuhakiki Vizazi na Vifo: Katika lango la eRITA, chagua kategoria ya “Huduma Za Vizazi Na Vifo” ili kuendelea.Jinsi-ya-Kuhakiki-Cheti-cha-Kuzaliwa-RITA-Online-2024.webp

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here