Home RITA Jinsi ya Kupata Cheti Cha Kuzaliowa Online

Jinsi ya Kupata Cheti Cha Kuzaliowa Online

6
0

Fahamu Namna ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa Mtandaoni Tanzania. Cheti cha kuzaliwa ni hati rasmi inayotolewa na RITA (Registration Insolvency and Trusteeship Agency). Inathibitisha jina lako, tarehe ya kuzaliwa, mahali ulipozaliwa na majina ya wazazi.

Nyaraka Muhimu za Kuomba Cheti cha Kuzaliwa

  1. Barua ya Utambulisho kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kata au Kijiji.
  2. Kadi ya Kliniki inayoonyesha tarehe ya kuzaliwa.
  3. Cheti cha Ubatizo, kama kinapatikana.
  4. Cheti cha Kumaliza Elimu ya Msingi au Sekondari.
  5. Nyaraka Nyinginezo zinazothibitisha tarehe, mwezi, na mwaka wa kuzaliwa na mahali pa kuzaliwa.
  6. Picha Moja ya Pasipoti (passport size).

Hatua

Fungua Akaunti: Tembelea tovuti ya eRITA na fungua akaunti kwa kujaza taarifa zako za msingi.[/td]

Jaza Fomu: Jaza fomu ya maombi kwa taarifa sahihi za kuzaliwa na za wazazi.[/td]

Pakua Nyaraka: Wasilisha nyaraka muhimu kama vile barua ya utambulisho na cheti cha ubatizo.[/td]

Chagua Wilaya: Chagua wilaya ya kuchukulia cheti baada ya maombi kuidhinishwa.[/td]

Lipa Ada: Lipa ada ya huduma kupitia benki au mitandao ya simu.[/td]

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here