Home ZHESLB Mafao kwa Wanufaika wa Ufadhili wa SMZ(ZHESLB)

Mafao kwa Wanufaika wa Ufadhili wa SMZ(ZHESLB)

23
0
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

MAFAO KWA WANUFAIKA WA UFADHILI WA SMZ

6.1 Vipengele vya Mafao

Na. Mafao kwa wanufaika wa Ufadhili wa SMZ Kiwango cha Malipo TZS
1. Ada ya masomo Yote
2. Ada ya mitihani Yote
3. Posho la chakula na malazi 1.5M Zanzibar, 1.8M Tz Bara
4. Mahitaji maalum ya kitivo (Special faculty requirement) Si zaidi ya 300,000
5. Bima ya afya 50,400
6. Posho la vitabu na viandikwa (Stationery) 200,000
7. Mafunzo kwa vitendo 300,000
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here