Home ZHESLB Miongozo ya Uombaji wa Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar 2026/2027

Miongozo ya Uombaji wa Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar 2026/2027

23
0
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

TAARIFA KWA UMMA – DIRISHA LA UOMBAJI MIKOPO 2026/2027

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU ZANZIBAR (BMWEJZ / ZHESLB)

Tarehe: 03 Julai, 2026

DIRISHA LA UOMBAJI MIKOPO LIMEFUNGULIWA

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Zanzibar inawataarifu umma kuwa Dirisha la maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2026/2027 limefunguliwa rasmi.

VIWANGO VYA MASOMO YANAYOKUBALIWA

Maombi yanakubalika kwa viwango vifuatavyo:

  • Diploma

  • Digrii (Degree)

  • Masters

  • PhD

DOWNLOAD MIONGOZO YA ELIMU YA JUU ZANZIBAR

MUONGOZO DIPLOMA

MUONGOZO DEGREE

MUONGOZO SMZ

📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here