Home VETA Ada na Gharama za Mafunzo katika Vyuo vya Veta Tanzania

Ada na Gharama za Mafunzo katika Vyuo vya Veta Tanzania

172
0
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

Ada za mafunzo kwa kozi za muda mrefu kwa vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa sasa ni shilingi 60,000/= kwa mwanafunzi wa kutwa katika fani zote na bweni ni shilingi 120,000/=. Gharama zingine hutegemeana na fani na mahitaji mahsusi kwenye chuo husika.

Orodha ya vyuo na fani zinazotolewa kwenye vyuo husika zinapatikana kwenye tovuti ya VETA: www.veta.go.tz

📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here