Home VETA Orodha Ya Fani Unazoweza Kurasimisha Ujuzi Wako Kupitia Programu Ya RPL Kwa...

Orodha Ya Fani Unazoweza Kurasimisha Ujuzi Wako Kupitia Programu Ya RPL Kwa Sasa

152
0
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

Kwa sasa waombaji wanaoweza kurasimisha ujuzi kupitia Programu ya RPL wanapaswa kutoka katika fani zifuatazo:

  1. Uashi
  2. Uselemara
  3. Ufundi Magari (Makenika)
  4. Upishi
  5. Uhudumu wa Hoteli, Baa au Migahawa
  6. Ufundi Uungaji Vyuma (Welding)
  7. Ufundi Cherehani (Ushonaji wa Nguo)
  8. Ufundi Bomba
  9. Ufundi wa Umeme wa Najumbani na
  10. Ufundi wa Kunyoosha bodi za Magari

VETA inatarajio kuongeza orodha ya fani kulingana na mahitaji. Mwombaji mwenye ujuzi zaidi ya fani moja anapaswa kuchagua fani moja kwa wakati.

📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here