Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Doctor of Medicine (MD/MBBS)
Pass tatu kutoka katika masomo ya Physics, Chemistry and Biology zenye pont zisizopungua 6. Mwombaji angalau awe na "D" kwenye somo la Chemistry, Biology and Physics.
Jinsi ya Kupata...
Mtihani wa Darasa la Saba (Primary School Leaving Examination - PSLE) ni mtihani wa kitaifa unaosimamiwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa ajili ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi.
Mtihani huu hufanyika wiki ya pili ya Septemba kila...
Vigezo vya Kujiunga na Kozi ya Nusing
Mwombaji anapaswa kuwa na Cheti cha Matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE) chenye angalau ufaulu wa masomo manne (4) yasiyo ya kidini, ikiwemo Kemia, Baiolojia, na Fizikia/Hisabati za Uhandisi. Ufaulu wa daraja D...
Iwapo mwanafunzi/Mwombaji wa mkopo hajaridhika na ki-wango cha mkopo alichopatiwa au hajapangiwa mkopo anatakiwa kufanya nini?
Fursa ya kukata rufaa hutolewa baada ya kukamilisha zoezi la kupanga mikopo
Ikitokea mwombaji akakosa kwenye rufaa, atapata fursa ya kuomba tena kwa mwaka unaofuata.
Maombi...
NACTVET GUIDEBOOK INAKUSAIDIA KUFAHAMU VITU MHIMU
Mfano
1. Kozi za Certificate na Diploma zinazotolewa kila chuo
2. Gharama/ada za kila kozi kwa kila chuo
3. Vigezo vya kujiunga na kozi zote
PAKUA PDF HAPA (NACTVET Guidebook 2026/27)
Mtihani wa Taifa Kidato cha Nne (CSEE) huu ni mtihani wa mafanikio unaotolewa kwa watahiniwa waliomaliza miaka minne ya elimu ya sekondari.
Kalenda ya Mitihani
Mtihani wa Taifa Kidato cha Nne (CSEE) hufanyika wiki ya kwanza ya Novemba kila mwaka. Malengo...
Mtihani wa Kitaifa ya Darasa la Nne (SFNA) ni tathmini ya awali inayolenga kufuatilia ujifunzaji wa wanafunzi. Ili kutoa maoni ambayo walimu, wanafunzi na wadau wengine wa elimu wanaweza kutumia ili kuboresha ufundishaji na ujifunzaji.
Ratiba ya Mtihani hutolewa na...
Haya Hapa Mambo gani muhimu yanapaswa kuzingatiwa wakati wa kuomba mkopo HESLB.
Hakikisha umesaini fomu ya maombi ya mkopo
Hakikisha mdhamini wako amesaini fomu yako katika eneo lake
Hakikisha fomu yako imesainiwa na kugongwa mihuri na Serikali ya Mtaa...
Utahitaji kuandaa taarifa zako binafsi, vyeti vya elimu, nyaraka zinazothibitisha uhitaji (kama yatima au ulemavu), na taarifa za wadhamini. Nyaraka hizi zote zitahitajika kupakiwa kidijitali kupitia Mfumo wa OLAMS HESLB wakati wa mchakato wa maombi.
Sifa za Kuomba Mkopo wa...
Orodha kamili ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa awamu ya pili kujiunga na Sokoine University of Agriculture (SUA) kwa mwaka wa masomo 2026/2027 awamu ya pili ipo mtandaoni.
Vyombo mbalimbali vya habari tehama viliripoti kwamba awamu ya kwanza ya uteuzi (round one, single...








