Mfumo wa Maombi ya Ajira Uhamiaji (Immigration Recruitment Portal) umetengenezwa ili kurahisisha na kuharakisha mchakato wa kuomba ajira katika Idara ya Uhamiaji kwa njia ya mtandao. Kupitia mfumo huu, waombaji wanaweza kujisajili, kujaza taarifa binafsi na kielimu, kupakia nyaraka...
PDF za Orodha ya Majina waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi kutoka sekretariat ya Ajira Utumishi na Ajira Portal kwa Mwaka 2025. Hapa inahusisha taasisi mbalimbali zote ambazo zitatangazwa na sekretariat ya Ajira utumishi. PDF 1 30/12/2025 PDF 2 30/12/2025
TANGAZO LA AJIRA Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo:- 1. SIFA ZA MWOMBAJI i....
MAOMBI YATAKAYOPEWA KIPAUMBELE: Maombi yatakayopewa kipaumbele ni ya waombaji wenye taaluma ngazi ya Shahada/Stashahada ya Juu, Stashahada na Astashahada kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali wenye fani zifuatazo:- Mtaalamu wa Lugha za Kimataifa, Utawala, Sheria, Uhusiano, TEHAMA(Cyber Security,Database Developer,System Developer,Artifical Intelligence and Machine Learning), Masijala,...
NAMNA YA KUFANYA MAOMBI: Maombi yote ya ajira yatawasilishwa kupitia tovuti ya Idara ya Uhamiaji ambayo ni https://www.immigration.go.tz kuanzia tarehe 29 Desemba, 2025 na mwisho wa kufanya maombi ni tarehe 11 Januari, 2026. Wakati wa kufanya maombi, mwombaji anatakiwa kuambatisha (upload) kwenye mfumo wa...
VETA Tazania imetangaza mafunzo ya muda mfupi katika mradi ambao utakuwa unatoa fani za Agro-Mechanics, Umwagiliaji (Irrigation) na Teknolojia ya Uhifadhi wa Mazao Baada ya Mavuno (Post-Harvest Technology). Mafunzo yatatolewa kwa awamu, ambapo awamu ya kwanza itaanza tarehe 19...
Ikiwa mwombaji anakidhi vigezo vilivyotajwa hapo juu ataendelea na hatua za uombaji kama ifuatavyo: Kujaza fomu ili kuomba kurasimisha umahiri wake. VETA itamtaarifu muda na sehemu atakayofanyiwa tathmini ya ujuzi wake. (Endapo amekidhi vigezo) Mwanagenzi atastahili kupewa cheti endapo...
Kwa sasa waombaji wanaoweza kurasimisha ujuzi kupitia Programu ya RPL wanapaswa kutoka katika fani zifuatazo: Uashi Uselemara Ufundi Magari (Makenika) Upishi Uhudumu wa Hoteli, Baa au Migahawa Ufundi Uungaji Vyuma (Welding) Ufundi Cherehani (Ushonaji wa Nguo) Ufundi Bomba Ufundi...
Mwombaji awe na ujuzi wa ufundi ambao aliupata bila kupitia chuo au mfumo rasmi wa mafunzo. Hivyo hana cheti kinachoelezea kuhusu ujuzi alionao. Mwombaji awe na uzoefu usiopungua miaka mitano (5) kwenye fani yake. Mwombaji awe Mtanzania mwenye...
Programu ya Urasimishaji wa Ujuzi Uliopatikana Nje ya Mfumo Rasmi wa Mafunzo (RPL) inamuwezesha fundi aliyejifunza nje ya mfumo rasmi wa mafunzo kuwa na sifa inayotambulika kitaifa na inayoaminika kwa waajiri na sekta mbalimbali ikiwemo Elimu na taasisi za...