Mfumo wa Maombi ya Ajira Uhamiaji – Immigration recruitment Portal
Mfumo wa Maombi ya Ajira Uhamiaji (Immigration Recruitment Portal) umetengenezwa ili kurahisisha na kuharakisha mchakato wa kuomba ajira katika Idara ya Uhamiaji kwa njia...
Majina walioitwa Kazini UTUMISHI Ajira Portal 2025
PDF za Orodha ya Majina waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi kutoka sekretariat ya Ajira Utumishi na Ajira Portal kwa Mwaka 2025.
Hapa inahusisha...
Sifa za Ujumla Kazi Jeshi la Uhamiaji December 2025
TANGAZO LA AJIRA
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba
11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi...
Maombi yatakayopewa(Fani) kipaumbele kazi jeshi la Uhamiaji mwaka 2025
MAOMBI YATAKAYOPEWA KIPAUMBELE:
Maombi yatakayopewa kipaumbele ni ya waombaji wenye taaluma ngazi ya
Shahada/Stashahada ya Juu, Stashahada na Astashahada kutoka katika Vyuo
vinavyotambuliwa na Serikali wenye fani...
Namna ya kufanya maombi na nyaraka za umuhimu kazi jeshi la...
NAMNA YA KUFANYA MAOMBI:
Maombi yote ya ajira yatawasilishwa kupitia tovuti ya Idara ya Uhamiaji ambayo
ni https://www.immigration.go.tz kuanzia tarehe 29 Desemba, 2025 na
mwisho wa kufanya...
Nafasi za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi ya Muda Mfupi...
VETA Tazania imetangaza mafunzo ya muda mfupi katika mradi ambao utakuwa unatoa fani za Agro-Mechanics, Umwagiliaji (Irrigation) na Teknolojia ya Uhifadhi wa Mazao Baada...
VETA Hatua Za Kufuata Ili Kurasimisha Ujuzi Wako
Ikiwa mwombaji anakidhi vigezo vilivyotajwa hapo juu ataendelea na hatua za uombaji kama ifuatavyo:
Kujaza fomu ili kuomba kurasimisha umahiri wake.
VETA itamtaarifu muda...
Orodha Ya Fani Unazoweza Kurasimisha Ujuzi Wako Kupitia Programu Ya RPL...
Kwa sasa waombaji wanaoweza kurasimisha ujuzi kupitia Programu ya RPL wanapaswa kutoka katika fani zifuatazo:
Uashi
Uselemara
Ufundi Magari (Makenika)
Upishi
Uhudumu wa Hoteli,...
Sifa Gani Unapaswa Kuwa Nazo Ili Uweze Kurasmisha Ujuzi Kupitia Programu...
Mwombaji awe na ujuzi wa ufundi ambao aliupata bila kupitia chuo au mfumo rasmi wa mafunzo. Hivyo hana cheti kinachoelezea kuhusu ujuzi alionao.
...
VETA Manufaa Ya Kurasimisha Ujuzi Kupitia Programu Ya RPL
Programu ya Urasimishaji wa Ujuzi Uliopatikana Nje ya Mfumo Rasmi wa Mafunzo (RPL) inamuwezesha fundi aliyejifunza nje ya mfumo rasmi wa mafunzo kuwa na...







