Form One Selection 2026 – Majina ya waliochaguliwa Kidato Cha Kwanza 2026 (Selection Form One)

0

Kila mwisho wa mwaka mara baada ya matokeo ya darasa la saba kutangazwa. NECTA kwa kushirikiana na TAMISEMI hufanya uchaguzi wa wanafunzi watakaojiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2026. Katika mchakato huu, wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba (PSLE) hupangiwa shule kulingana na alama zao na nafasi zilizopo katika shule za upili za serikali. Mchakato...

Majina ya Waliopewa Mkopo HESLB 2025/2026 Awamu ya Pili

0

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza Second Batch majina ya wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Tangazo hili limekuja wiki chache baada ya kutolewa kwa orodha ya awamu ya kwanza, ambapo wanafunzi wengi sasa wamepata matumaini mapya ya kuendelea na masomo yao ya elimu ya juu bila changamoto za...

Nafasi Za Kazi Bunge La Muungano Tanzania 2025

0

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeundwa kwa mujibu wa Ibara ya 62 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977. Aidha, Ibara ya 88 (1) ya Katiba inaunda Sekretarieti ya Bunge yenye jukumu la kuliwezesha Bunge kutekeleza majukumu yake. Kwa msingi huo, Katibu wa Bunge anatangaza nafasi za kazi 28 za Kada mbalimbali ili kuimarisha utendaji. Watanzania wote...

Shule Bora 50 Matokeo Darasa La Saba Mwaka 2025

0

Top 50 Best Schools Standard Seven Results 2025 The following is the list of the top 50 best school for standard Seven results 2025/2026 POSITION – SCHOOL NAME – REGION 1 KIBAHA INDEPENDENT MSANGANI PRIMARY SCHOOL – PS1407081 – PWANI 2 KEMEBOS PRIMARY SCHOOL – PS0503047 KAGERA 3 ST. MARY’S NEWALA PRIMARY SCHOOL – PS1209046 MTWARA 4 BIRGIT PRIMARY SCHOOL – PS1109001 MOROGORO 5 NDAMEZE PRIMARY...

Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Online

0

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) linapenda kuwataarifu wazazi, walezi, walimu na umma kwa ujumla kuwa matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) kwa mwaka 2025 yanatarajiwa kutoka na kutangazwa rasmi mwishoni mwa mwezi Oktoba 2025. Hatua Jinsi ya kuangali Matokeo ya Darasa la saba 2025 Online Mara tu baada ya kutangazwa, matokeo yatapatikana kupitia: Tovuti rasmi ya NECTA: https://www.necta.go.tz ...

Sifa na Vigezo vya Kujiunga na Jeshi la Zima Moto na Uokoaji

0

Fahamu Sifa na Vigezo vya Kujiunga na Jeshi la Zima Moto na Uokoaji Tanzania. Sifa za mwombaji. a) Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa b) Awe na cheti cha kuzaliwa c) Awe na Kitambulisho cha Taifa au Namba ya Utambulisho iliyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA) d) Awe na afya njema kimwili na kiakili e) Asiwe na Kumbukumbu za Uhalifu f) Awe hajaoa au kuolewa g) Asiwe...

Barua ya Kuteuliwa Kuwa Mwalimu wa Taaluma wa Shule

0

SHULE YA MSINGI ……………, S.L.P ……….., KASULU. TAREHE ………………………………. MWL………………………………………… SHULE YA MSINGI MURUSI. YAH:KUTEULIWA KUWA MWALIMU WA TAALUMA SHULENI. Husika na kichwa cha habari hapo juu , kufuatia taratibu na kanuni za kazi katika utumishi wa Umma zinavyoelekeza. Kwa mamlaka niliyonayo kama Mwalimu mkuu Napenda kukutaarifu kuwa nimekuteua kushika nafasi tajwa hapo juu hadi hapo nitakapoamua kukubadilisha katika nafasi hiyo. Kama mwalimu wa taaluma unatakiwa kutekeleza...

Mfano wa Barua ya Maombi ya Nafasi ya Afisa Kilimo Msaidizi

0

Kazi za Afisa Kilimo Msaidizi tanzania i.Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio;   Join WhatsApp Group ii.Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio; iii.Kuwafundisha wakulima mbinu za kilimo bora; iv.Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti; v.Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi ya mbolea na madawa, pembejeo za kilimo; vi.Kukusanya na kutunza takwimu za mazao na bei kwa wiki mwezi, robo na mwaka ngazi ya halmashauri; vii.Kukusanya takwimu za mvua; viii.Kushiriki katika...

Msimamo wa Ligi Kuu NBC 2025/2026 – Tanzania Bara

0

azama hapa Msimamo wa Ligi Kuu NBC 2025/2026 Tanzania bara premier, timu zote simba, Yanga na Azam Msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa 2025–26 utaanza rasmi tarehe 16 Septemba 202. Kabla ya kuanza, Bodi husika ilisisitiza umuhimu wa timu kufanya maandalizi ya kina—sio tu kuboresha safu za wachezaji, bali pia kuhakikisha miundombinu kama viwanja na ofisi za vifaa iko katika...

Ratiba ya Mtihani wa Taifa Kidato cha Nne 2025 – NECTA Form Four

0

Kwa mwaka wa masomo 2025, Ratiba ya Mtihani wa Taifa Kidato cha Nne – Form Four imepangwa kuanza tarehe 10 Novemba na kukamilika tarehe 28 Novemba 2025. Mitihani itafanyika katika vipindi viwili kila siku — kipindi cha asubuhi na cha jioni — ambapo masomo ya kitaaluma na mitihani ya vitendo itapangwa kulingana na ratiba rasmi iliyotolewa na Baraza la...