Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2025/26 – CAF Confederation
Droo ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2025 26 – CAF Confederation Cup msimu huu imefanyika rasmi leo tarehe 3 Novemba 2025 nchini Afrika Kusini, ikihusisha timu zilizofanikiwa kufuzu hatua ya makundi baada ya mechi za mchujo kumalizika wiki iliyopita. Hafla hii imevutia wadau wengi wa soka barani Afrika, ikiwemo makocha, viongozi wa vilabu, na wapenzi wa kandanda...
Makundi ya Klabu Bingwa Afrika 2025/26 – CAF Champions League
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza droo ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2025-2026 leo hii 3 Novemba 2025, jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Tukio hilo kubwa limewakutanisha viongozi wa klabu zilizofuzu, makocha, na wawakilishi wa vyama vya soka kutoka nchi mbalimbali barani Afrika. Makundi ya Klabu Bingwa Afrika 2025 2026 Kundi A RS Berkane ...
Kundi la Yanga Klabu Bingwa Afrika 2025/26
Hizi hapa timu zilizopangwa na yanga katika hatua ya makundi ya klabu bingwa afrika msimu huu. Timu hizi ndio zitachea na yanga kuwania nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya klabu bingwa afrika. Kundi B Al Ahly Fc Yanga sc AS Far Js Kabylie
Kundi la Simba Klabu Bingwa Afrika 2025/26
Hizi hapa timu zilizopangwa na simba katika droo ya hatua ya makundi ya klabu bingwa afrika msimu huu. Timu hizi ndio zitacheza na simba kuwania nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya klabu bingwa afrika. Kundi D Espérance Sportive de Tunis Simba sc Atletico Petroleos Stade Malien
Mfumo maombi Ajira za Magereza – ajira.magereza.go.tz tps Recruitment Portal
Mfumo wa maombi ya ajira magereza online Application TPS Recruitment portal ni mfumo wa kidijitali unaowezesha waombaji wa ajira katika Jeshi la Magereza kutuma maombi yao kwa njia rahisi na ya haraka kupitia mtandao. Mfumo huu umeundwa ili kurahisisha mchakato wa ukusanyaji, uchambuzi na uhakiki wa taarifa za waombaji, na hivyo kuongeza ufanisi na uwazi katika ajira za serikali. MAJINA...
Majina ya walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025
Orodha ya majina ya waliotwa kwenye usaili wa Ajira za Magereza mwaka huu 2025 Jeshi la Magereza limetangaza majina ya waombaji ajira / kazi waliochaguliwa kushiriki kwenye usaili kwa mwaka 2025, hatua inayolenga kupata watumishi wapya watakaounganisha nguvu katika kulinda usalama na kusimamia haki za wahalifu waliopo magerezani. BONYEZA HAPA KUPATA MAJINA YA WALIOITWA USAILI JESHI LAMAGEREZA 2025 Tangazo hili limeambatana na...
Matokeo ya Darasa la Saba 2025 NECTA
NECTA Yatangaza matokeo ya Darasa la Saba mwaka huu 2025-2026 – PSLE Results. Wanafunzi, wazazi na walimu kote nchini wanatarajia kwa hamu kutangazwa rasmi kwa matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) kwa mwaka wa 2025 na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Matarajio ni kwamba matokeo hayo yatatolewa muda mfupi baada ya ukaguzi wa mwisho wa majibu,...
HESLB Majina ya mkopo yanatoka lini 2025-2026?
tarehe ya kutangaza majina ya waliopata mkopo mwaka huu 2025-2026 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inatarajiwa kutangaza majina ya waombaji waliopata mikopo kwa mwaka wa masomo 2025-2026 katika kipindi cha hivi karibuni. Wanafunzi waliohitimu kidato cha sita na waliotuma maombi ya mkopo kupitia mfumo rasmi wa HESLB wanashauriwa kuendelea kufuatilia taarifa kutoka kwa bodi hiyo...
Majina ya waliopata Mkopo 2025-2026 – HESLB Loan Beneficiary
Orodha ya majina wa form six waliopata Mkopo pdf Bodi ya Mkopo HESLB mwaka huu 2025-2026 awamu ya kwanza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) iko mchakato wa kutangaza majina ya wanafunzi wa Form six ambao ndio waombaji ambao wamethibitishwa kupata mikopo kwa waliohitimu kwa ajili ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025‑2026. Majina hayo...









