Nafasi 292 AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS)
AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS) - Nafasi 292 MAJUKUMU YA KAZI • Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio. • Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio, • Kuwafundisha wakulima mbinu za kilimo bora, • Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti, • Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi ya mbolea na madawa, pembejeo za kilimo, • Kukusanya na kutunza takwimu za mazao na bei kwa wiki mwezi,...
Nafasi 35 AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II)
AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II) - Nafasi 35 MAJUKUMU YA KAZI i. Kutengeneza, Kushona, Kutunza na Kukarabati zana za uvuvi. ii.Kutunza na kuangalia mabwawa ya samaki. iii.Kutega mitego Ziwani au Baharini. iv.Kutengeneza nyavu ndogo ndogo. v.Kuwapa chakula samaki katika mabwawa. vi.Kuvua samaki katika mabwawa. vii.Kutoa ushauri kwa wavuvi kuhusu mbinu mbalimbali za uvuvi. viii.Kukusanya takwimu za uvuvi kutoka kwenye vituo vya kupokelea samaki. ix.Kutoa...
Nafasi 24 MHANDISI KILIMO DARAJA LA II (AGRO ENGINEERS)
MHANDISI KILIMO DARAJA LA II (AGRO ENGINEERS) - Nafasi 24 MAJUKUMU YA KAZI • Kuandaa program za mafunzo kwa wakulima kutumia zana za kilimo, • Kushiriki katika kufundisha wakulima na matumizi bora ya zana, • Kushiriki kutengeneza michoro/ramani za umwagiliaji, • Kushiriki katika ujenzi wa miradi ya umwagiliaji, • Kushirikiana na mafundi sanifu kuwafunindisha wakulima uendeshaji wa skimu za umwagiliaji, • Kukusanya takwimu za miradi ya umwagiliaji, •...
Nafasi 224 AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)
5.0 AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) - Nafasi 224 5.1 MAJUKUMU YA KAZI i. Kushiriki kuandaa taarifa ya mapato na matumizi; ii. Kushiriki kuandaa taarifa za maduhuli; iii. Kushiriki kufanya usuluhisho wa hesabu za benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha; iv. Kuandaa taarifa mbalimbali za mishahara; v. Kundika hati za malipo na hati za mapokezi; vi. Kutunza daftari za amana; vii. Kufanya kazi...
Nafasi 32 AFISA TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II)
4.0 AFISA TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II) - Nafasi 32 4.1 MAJUKUMU YA KAZI i.Kutoa mapendekezo kuhusu utekelezaji wa Sheria, Sera, Kanuni na Taratibu mbalimbali zinazotolewa na Serikali; ii. Kutoa mapendekezo kuhusu kazi za utawala na uendeshaji katika Ofisi za Serikali; iii. Kushughulikia masuala ya itifaki mahali pa kazi; iv. Kuweka kumbukumbu za matukio muhimu ya Taasisi; v. Kupokea na kusajili malalamiko mbalimbali yanayowasilishwa; vi....
Nafasi 126 MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT GRADE II)
3.0 MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT GRADE II) - Nafasi 126 3.1 MAJUKUMU YA KAZI i.Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu; ii.Kutunza kumbukumbu za hesabu; iii.Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na iv.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi. 3.2 SIFA ZA MWOMBAJI Kuajiriwa wenye Cheti cha Astashahada ya Uhasibu kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali au Cheti cha ATEC...
Nafasi 1 Afisa ukuzaji viumbe kwenye maji msaidizi daraja la II(Assistant Aquaculture Officer Grade II)
2.0 AFISA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI MSAIDIZI DARAJA LA II(ASSISTANT AQUACULTURE OFFICER GRADE II) - Nafasi 1 2.1 MAJUKUMU YA KAZI i. Kuhamasisha kuongeza ubora wa Mazao na ukuzaji viumbe kwenye maji ili kulinda soko na afya ya walaji; ii. Kuwaelimisha wananchi juu ya ufugaji wa Samaki na Kilimo cha mwani na usimamizi endelevu ili kuongeza tija; iii. Kuanisha wawekezaji katika shughuli za ukuzaji viumbe kwenye...
Nafasi 131 MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II)
MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II) - Nafasi 131 1.1 MAJUKUMU YA KAZI i. Kuandika taarifa ya mapato na matumizi; ii. Kuandika taarifa za maduhuli; iii. Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati; iv. Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha; v. Kukagua hati za malipo; na vi. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake...
3018 Ajira Walimu Daraja La IIIA (Teacher Grade IIIA)
3018 Ajira Walimu Daraja La IIIA (Teacher Grade IIIA) Duties and Responsibilities i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa; ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufandishia na kujifunzia; iii. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi; iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani; v. Kusimamia malezi ya...
Serikari Imetema Ajira 41500 Mpya Za Serikalini Mwaka 2025
Serikali imetangaza nafasi za ajira 41,500 za kada mbalimbali, katika kipindi cha mwaka wa fedha 2025/26 na kuwataka Watanzania wenye sifa kuchangamkia fursa hiyo. Ajira hizo ni katika kada za elimu nafasi 12,176, sekta ya afya ngazi ya serikali za mitaa (10,280), kilimo (470), mifugo (312), uvuvi (47), ulinzi inayohusisha Jeshi la Polisi, magereza, zimamoto na uhamiaji (7000) pamoja na...






