MHANDISI KILIMO DARAJA LA II (AGRO ENGINEERS) – Nafasi 24
MAJUKUMU YA KAZI
• Kuandaa program za mafunzo kwa wakulima kutumia zana za kilimo,
• Kushiriki katika kufundisha wakulima na matumizi bora ya zana,
• Kushiriki kutengeneza michoro/ramani za umwagiliaji,
• Kushiriki katika ujenzi wa miradi ya umwagiliaji,
• Kushirikiana na mafundi sanifu kuwafunindisha wakulima uendeshaji wa skimu za
umwagiliaji,
• Kukusanya takwimu za miradi ya umwagiliaji,
• Kushiriki kuratibu na kutoa huduma za umwagiliaji kwa vikundi vya umwagiliaji pamoja
na matumizi ya maji,
• Kuandaa mafunzo/maonyesho ya matumizi ya za za kilimo,
• Kufuatilia program za mafunzo ya wanyama kazi, mafundi wa matrekta na wakulima
jinsi ya matumizi ya wanyama na matrekta,
• Kuwafundisha wakulima ujenzi wa vihengo bora na
• Kushughulikia ubora wa zana na kuwashauri waagizaji na watengenezaji ipasavyo.
SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza (Bachelor of Science in Agro-Processing/ Bio
Processing Engineering, Bachelor of Science in Mechanization Engineering) ya
uhandisi yenye mwelekeo mkubwa katika fani ya Kilimo cha umwagiliaji na cha zana
kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali.
NGAZI YA MSHAHARA
TGS.E
CLICK HERE TO APPLY













