Tetesi za Usajili wa Yanga SC 2026/2027

0

Dirisha kubwa la usajili wa msimu wa 2026/2027 limefunguliwa rasmi, hivyo tetesi kuhusu usajili wa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania 2025/2026 Yanga zinaendelea kuongezeka. Ni muhimu kutofautisha kati ya: Tetesi – taarifa ambazo bado hazijathibitishwa. Usajili rasmi – mchezaji hutangazwa na Yanga kupitia kurasa zake rasmi au taarifa ya klabu. Young Africans Sports Club (Yanga SC) inaendelea kupanga kikosi chake kuelekea msimu wa 2026/2027 baada...

Tetesi za Usajili wa Simba SC 2026/2027

0

Mabingwa wa Kombe FA Tanzania 2025/2026 Simba SC wamepania kufanya vizuri msimu ujao Ligi Kuu. Kuna majina mbalimbali ya wachezaji wanaohusishwa kuingia katika kikosi cha simba msimu wa 2026/2027. Majina hayo ni Kelvin Nashon, Ramadhan Chobwedo, Feisal Salum. Wakati baadhi ya majina yakitajwa kuwa karibu kutambulishwa rasmi, wengine wanaendelea kuwa sehemu ya mipango ya muda mrefu ya klabu. Simba Inatafuta Kuimarisha...

CV ya Kocha Mpya wa Yanga Manqoba Mngqithi

0

CV ya Manqoba Mngqithi Kocha Mpya wa Yanga 2026/2027. Kocha mkuu wa zamani wa Golden Arrows, Manqoba Mngqithi, ametangazwa kuwa meneja mpya wa mabingwa wa Tanzania, Young Africans SC. PROFILE MAJINA KAMILI: MANQOBA MNGQITHI KUZALIWA: 25 APRIL 1971 TAIFA: SOUTH AFRICAN NAFASI: KOCHA MKUU Manqoba Mngqithi (alizaliwa 25 Aprili 1971 huko Umzimkhulu) ni kocha wa soka wa Afrika Kusini ambaye kwa sasa anafundisha klabu ya...

Wasailiwa TRA Kuwekwa Kwenye Kanzidata (Database)

0

Mtakumbuka kwamba kati ya Mwezi Februari na Juni, 2025 Mamlaka ya Mapato Tanzania iliendesha zoezi la usaili ili kujaza nafasi 1,596 zilizokuwa wazi. Baada ya mchakato ule, waomba kazi waliofikia na kufaulu vizuri zaidi katika hatua ya usaili wa mahojiano waliajiriwa kujaza nafasi hizo katika kada mbalimbali. Aidha, waomba kazi wengine walifikia na kufaulu usaili wa mahojiano lakini hawakuweza kuajiriwa...

Sifa za Msailiwa Katika Kanzidata za Ajira za Serikalini

0

Fahamu Sifa za Msailiwa Katika Kanzidata za Ajira za Serikalini. ANGALIA VIDEO HAPA

Maswali ya Usaili Personal Secretary

0

QUESTIONS FOR INTERVIEW OF: PERSONAL SECRETARY GRADE III 6. DUTIES OF PERSONAL SECRETARY DURING THE MEETING: . To arrange conference room set up. . To-supply stationery. . To welcome new member. . To supervise conference room. · To read previous minutes. . To record minutes of meeting. . To record minutes of meeting. . To record the attendance. 7. EFFECTIVE OF LISTENING: Daydreaming . Detouring · Debating . Private planning 8. BARRIES OF COMMUNICATION: Fault...

Mfumo Wa Matokeo Analysis, Report Form Na SMS

0

AINA YA MIFUMO YA MATOKEO TULIYONAYO, GHARAMA ZAKE PAMOJA NA MAELEZO MENGINE. MIFUMO YA MATOKEO,  ANALYSIS & REPORT FORM Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya tsh 30,000/= Baada ya mtumiaji kuingiza majina na alama za wanafunzi, mfumo utachakata matokeo ya wanafunzi automatically na kukupatia outputs zifuatazo. Report form ya kila mwanafunzi mmoja iliyojazwa automatically na mfumo. Mkeka  wa...

Mfumo Wa Matokeo Ya Joints

0

MFUMO WA MATOKEO YA JOINTS. Mifumo hii inapatikana kwa ngazi zote, na gharama inazingatia idadi ya shule ambazo mfumo unapokea., kama ifuatvyo:- Kuanzia shule 2 hadi 15 (Tsh  20,000/=) Kuanzia shule 2 hadi 30 (Tsh  45,000/=) Kuanzia shule 2 hadi 48 (Tsh 60,000/=) Kazi ya mtumiaji ni kusajili majina ya shule, pamoja na kuingiza majina ya wanafunzi pamoja na alama zao. Mfumo utatoa outputs...

Mfumo Wa Timetable

0

Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya Tsh 30,000/= Huu ni mfumo mahususi kwa ajili ya uandaaji wa ratiba za masomo kwa ngazi zote za elimu. yaani Primary, O level, A'level na vyuoni. Kazi ya mtumiaji ni kujaza taarifa za walimu, masomo wanayofundisha, Idadi ya vipindi kwa kila somo na kila darasa. Halikadhalika mtumiaji atajaza Muda wa vipindi kuanza,...

Top 20 Best School Matokeo Form Six 2026

0

ACSEE 2026 1 S5555 KEMEBOS SECONDARY SCHOOL 2 S3881 AHMES SECONDARY SCHOOL 3 S0155 TABORA BOYS' SECONDARY SCHOOL 4 S6915 AHMES MBWENI SECONDARY SCHOOL 5 S6749 MARIAN BOYS MLINGOTINI SECONDARY SCHOOL 6 S0189 FEZA BOYS' SECONDARY SCHOOL 7 S1268 KISIMIRI SECONDARY SCHOOL 8 S0119 KIBAHA SECONDARY SCHOOL 9 S0140 MZUMBE SECONDARY SCHOOL 10 S1462 KIWIRA COAL MINE SECONDARY SCHOOL 11 S4213 MARIAN BOYS' SECONDARY SCHOOL 12 S1540 NANYUMBU SECONDARY SCHOOL 13 S0338...