Home VETA VETA Urasimishaji wa Ujuzi (RPL)

VETA Urasimishaji wa Ujuzi (RPL)

73
0

Urasimishaji wa Ujuzi Uliopatikana Nje ya Mfumo Rasmi wa Mafunzo (RPL) ni mchakato wa kutambua kutathmini na kuthibitisha ujuzi wa mtu bila kujali jinsi alivyopata ujuzi, lini na kwa muda gani na wapi ujifunzaji umefanyika.

Hatua za uthibitishaji wa ujuzi na utunuku wa cheti kwa mwanagenzi (Fundi aliyejifunzia mahali pa kazi pasipo kupita kwenye mfumo rasmi wa mafunzo) hufanywa kwa kuzingatia viwango vilivyowekwa vya moduli na sifa kamili za Miongozo ya utoaji na tathminini ya Elimu ya Ufundi Stadi. Kwa kuzingatia hili, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) huandaa na kutoa miongozo ya tathmini kwa moduli zinazotambulika Kitaifa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here