Home VETA Fomu za Kujiunga na Chuo cha VETA

Fomu za Kujiunga na Chuo cha VETA

10
0
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

Pata Fomu za Kujiunga na Vyuo cha VETA Tanzania. Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ni Wakala waSerikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Sura ya 82 ikiwa na majukumu ya utoaji, ugharamiaji na uratibu wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini. VETA huendesha mafunzo ya ufundi na ufundi stadi kupitia vyuo vyake ambavyo viko katika mikoa na wilaya mbalimbali nchini kote. Fani na utaratibu wa mafunzo katika vyuo vya VETA hulenga zaidi katika kukidhi mahitaji ya soko la ajira, hivyo humwezesha mhitimu kuajirika kwa urahisi (katika kazi za ujira au kujiajiri mwenyewe).

Vyuo vingi hutoa mafunzo ya ufundi stadi (Ngazi ya 1 hadi ya 3 – Level 1 to Level 3). Vyuo vichache ambavyo ni vya umahiri katika nyanja mahsusi hutoa mafunzo ya ngazi ya 4 hadi ya 6.

📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here