5.0 AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) – Nafasi 224
5.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kushiriki kuandaa taarifa ya mapato na matumizi;
ii. Kushiriki kuandaa taarifa za maduhuli;
iii. Kushiriki kufanya usuluhisho wa hesabu za benki na nyingine zinazohusiana na
masuala ya fedha;
iv. Kuandaa taarifa mbalimbali za mishahara;
v. Kundika hati za malipo na hati za mapokezi;
vi. Kutunza daftari za amana;
vii. Kufanya kazi nyingine ya fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi
5.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye “Intermidiet Certificate” (Module D) inayotolewa na NBAA au sifa
nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA,Shahada ya Biashara au
Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu, Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka
taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali.
5.3 NGAZI YA MSHAHARA
TGS.D
CLICK HERE TO APPLY













