Kama umemaliza kidato cha nne na ukapata combination ya CBG (Chemistry, Biology, na Geography), una fursa nzuri ya kuchagua kozi nyingi zinazofaa na kukupa kazi yenye tija baada ya kuhitimu. Chaguo lako la kozi linategemea na matarajio yako ya kazi, vipaumbele vyako,...
Kuchagua kozi ya kusoma chuo kikuu ni moja kati ya maamuzi muhimu zaidi katika maisha yako ya kitaaluma. Ikiwa umepata combination ya ECA (Economics, Commerce, na Accounting) katika mtihani wa kidato cha nne, una fursa ya kuchagua kozi nyingi zinazokufaa kwa...
Kama umechagua combination ya EGM (Economics, Geography, na Mathematics) katika mitihani yako ya sekondari, una fursa nzuri ya kujiunga na kozi nyingi zinazofurahisha na zenye nafasi kubwa za kazi. Katika makala hii, tutakushirikia kozi bora za kusoma chuo kwa combination ya EGM zinazokubalika...
TANGAZO LA KURIPOTI SHULE YA POLISI MOSHI KWA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI TANZANIA 1. Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania kuwa wanatakiwa kuripoti Shule ya Polisi Moshi kuanzia tarehe 12/06/2025 hadi tarehe 14/06/2025...
Matokeo ya Kidato cha Sita (ACSEE) ni hatua muhimu kwa wanafunzi waliosoma katika shule za sekondari za mkoa wa Manyara. Kwa kuzingatia mwaka wa masomo 2025/2026, makala hii inatoa maelezo ya kina kuhusu matokeo hayo, jinsi ya kuyapata, na mambo...
MAMBO YA KUZINGATIA KUFANYA MAOMBI YA MKOPO NA CHUO HATUA YA KWANZA UHAKIKI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO RITA Mahitaji: Jina kamili la mwanafunzi Tarehe ya kuzaliwa Mahali ulipozaliwa Namba ya simu Jina kamili la baba Jina kamili la mama ...
MAOMBI YA KUFANYA MAREKEBISHO KATIKA VYETI VYA KUZALIWA Huduma hii kwa sasa haipo kieletroniki na hivyo kuhitaji mwombaji kufika katika Ofisi zetu za Makao Makuu au Wilaya. Marekekbisho ya Jina la Mtoto Marekebisho katika ya Sheria Usajili wa Vizazi na Vifo Sura ya...
HUDUMA YA KUBADILISHA CHETI CHA ZAMANI KUWA KIPYA Vyeti vya zamani ambavyo vilitolewa kabla ya vyeti vya kieletroniki vinabadilishwa kupitia huduma hii ili kuwawezesha wananchi kupata vyeti vipya vinavyotolewa kieletroniki. JINSI HUDUMA INAVYOFANYIKA 1)    Mwombaji anaweza kufanya maombi kupitia tovuti yetu www.rita.go.tz na kubonyeza menyu...
RITA ni chombo cha serikali kilichokasimiwa jukumu la msingi la kusajilli Matukio Muhimu ya Binadamu ikiwemo vizazi na vifo. Jukumu hilo linasimamiwa na Sheria ya Usajili wa vizazi na Vifo Sura 108 ambayo imeweka ulazima wa kusajili kizazi na kifo kwa...
RITA ni chombo cha serikali kilichokasimiwa jukumu la msingi la kusajilli Matukio Muhimu ya Binadamu ikiwemo vizazi na vifo. Jukumu hilo linasimamiwa na Sheria ya Usajili wa vizazi na Vifo Sura 108 ambayo imeweka ulazima wa kusajili kizazi na kifo kwa...