Home AJIRA PORTAL Nafasi 35 AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II)

Nafasi 35 AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II)

151
0

AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II) –
Nafasi 35

MAJUKUMU YA KAZI
i. Kutengeneza, Kushona, Kutunza na Kukarabati zana za uvuvi.
ii.Kutunza na kuangalia mabwawa ya samaki.
iii.Kutega mitego Ziwani au Baharini.
iv.Kutengeneza nyavu ndogo ndogo.
v.Kuwapa chakula samaki katika mabwawa.
vi.Kuvua samaki katika mabwawa.
vii.Kutoa ushauri kwa wavuvi kuhusu mbinu mbalimbali za uvuvi.
viii.Kukusanya takwimu za uvuvi kutoka kwenye vituo vya kupokelea samaki.
ix.Kutoa ushauri juu ya uhifadhi wa samaki na mbinu za usambazaji na uuzaji wa mazao
yatokanayo na samaki.
x.Kuwaelimisha wananchi juu ya ufugaji wa samaki na mambo muhimu ya kuzingatia

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye stashahada (Diploma) katika
fani za Sayansi ya Uvuvi (Fisheries Science/Management, Zoology, Microbiology,
Marine Biology, Food Science and Aquaculture) kutoka vyuo vya uvuvi vya Mbegani,
Kunduchi au vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA
TGS.C

CLICK HERE TO APPLY

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here