Home AJIRA PORTAL Nafasi 32 AFISA TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II)

Nafasi 32 AFISA TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II)

240
0

4.0 AFISA TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II) – Nafasi
32

4.1 MAJUKUMU YA KAZI
i.Kutoa mapendekezo kuhusu utekelezaji wa Sheria, Sera, Kanuni na Taratibu
mbalimbali zinazotolewa na Serikali;
ii. Kutoa mapendekezo kuhusu kazi za utawala na uendeshaji katika Ofisi za Serikali;
iii. Kushughulikia masuala ya itifaki mahali pa kazi;
iv. Kuweka kumbukumbu za matukio muhimu ya Taasisi;
v. Kupokea na kusajili malalamiko mbalimbali yanayowasilishwa;
vi. Kusimamia miundombinu ya Ofisi na Majengo; vii. Kushiriki katika maandalizi ya
Vikao vya Baraza la Wafanyakazi;

viii. Kushughulikia masula ya anuai za Jamii;
ix. Kuratibu shughuli za Maafa; na x. Kufanya kazi nyingine zinazohusiana na kada yake
kama zitakavyoelekezwa na Msimamizi wa kazi.

4.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Shahada katika mojawapo ya fani zifuatazo; Public Administration,
Political Science and Public Administration, Business Administration au Commerce
iliyojiimarisha katika (Human Resources Management), Leadership and Governance,
Public Administration and Management, Local Government and Management, Human
Resource Planning and Management, Human Resources Management, Human
Resources Planning, Labour Relations and Public Management, Industrial Relations, au
fani nyingine zinazoendana na hizo kutoka katika Taasisi au Vyuo vinavyotambulika na
Serikali.

4.3 NGAZI YA MSHAHARA
TGS.E

CLICK HERE TO APPLY

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here