Home AJIRA PORTAL Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 31-07-2026

Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 31-07-2026

124
0

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 28-07-2025 na tarehe 25-07-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 31-07-2026

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here