AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS) -
Nafasi 292
MAJUKUMU YA KAZI
• Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio.
• Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio,
• Kuwafundisha wakulima mbinu za kilimo bora,
• Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti,
• Kuwafundisha wakulima mbinu bora...
AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II) -
Nafasi 35
MAJUKUMU YA KAZI
i. Kutengeneza, Kushona, Kutunza na Kukarabati zana za uvuvi.
ii.Kutunza na kuangalia mabwawa ya samaki.
iii.Kutega mitego Ziwani au Baharini.
iv.Kutengeneza nyavu ndogo ndogo.
v.Kuwapa chakula samaki katika mabwawa.
vi.Kuvua...
MHANDISI KILIMO DARAJA LA II (AGRO ENGINEERS) - Nafasi 24
MAJUKUMU YA KAZI
• Kuandaa program za mafunzo kwa wakulima kutumia zana za kilimo,
• Kushiriki katika kufundisha wakulima na matumizi bora ya zana,
• Kushiriki kutengeneza michoro/ramani za umwagiliaji,
• Kushiriki katika ujenzi...
5.0 AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) - Nafasi 224
5.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kushiriki kuandaa taarifa ya mapato na matumizi;
ii. Kushiriki kuandaa taarifa za maduhuli;
iii. Kushiriki kufanya usuluhisho wa hesabu za benki na nyingine zinazohusiana na
masuala ya...
4.0 AFISA TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II) - Nafasi
32
4.1 MAJUKUMU YA KAZI
i.Kutoa mapendekezo kuhusu utekelezaji wa Sheria, Sera, Kanuni na Taratibu
mbalimbali zinazotolewa na Serikali;
ii. Kutoa mapendekezo kuhusu kazi za utawala na uendeshaji katika Ofisi za Serikali;
iii....
3.0 MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT GRADE II) -
Nafasi 126
3.1 MAJUKUMU YA KAZI
i.Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu;
ii.Kutunza kumbukumbu za hesabu;
iii.Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na
iv.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu...
2.0 AFISA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI MSAIDIZI DARAJA LA II(ASSISTANT
AQUACULTURE OFFICER GRADE II) - Nafasi 1
2.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuhamasisha kuongeza ubora wa Mazao na ukuzaji viumbe kwenye maji ili kulinda
soko na afya ya walaji;
ii. Kuwaelimisha wananchi juu ya...
MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II) - Nafasi 131
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuandika taarifa ya mapato na matumizi;
ii. Kuandika taarifa za maduhuli;
iii. Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati;
iv. Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki na...
3018 Ajira Walimu Daraja La IIIA (Teacher Grade IIIA)
Duties and Responsibilities
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufandishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya...
Serikali imetangaza nafasi za ajira 41,500 za kada mbalimbali, katika kipindi cha mwaka wa fedha 2025/26 na kuwataka Watanzania wenye sifa kuchangamkia fursa hiyo.
Ajira hizo ni katika kada za elimu nafasi 12,176, sekta ya afya ngazi ya serikali za...






