Chuo Cha Amani Cha Lugha Ya Ishara Na Ukalimani

0

CHUO CHA AMANI CHA LUGHA YA ISHARA NA UKALIMANI (Amani Institute of Sign Language and Interpretation) Aina: Binafsi | Usajili: REG/BTP/210P Mahali: Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Mbeya Kozi Zinazopatikana: Stashahada ya Kwanza katika Lugha ya Ishara na Ukalimani (Ordinary Diploma in Sign Language and Interpretation) Vigezo vya Kujiunga: Wenye Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE) waliofaulu angalau masomo manne (4) yasiyo ya kidini ikijumuisha Kiingereza au Kiswahili Wenye Stashahada...

Chuo Cha Uhandisi Na Teknolojia Cha Al-Maktoum

0

CHUO CHA UHANDISI NA TEKNOLOJIA CHA AL-MAKTOUM (Al-Maktoum College of Engineering and Technology) Aina: Binafsi | Usajili: REG/EOS/039 Mahali: Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam Kozi Zinazopatikana: Stashahada ya Kwanza katika Teknolojia ya Kompyuta na Habari (Ordinary Diploma in Computing and Information Technology) Vigezo vya Kujiunga: Wenye Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE) waliofaulu angalau masomo manne (4) yasiyo ya kidini ikijumuisha faulu katika Biolojia, Fizikia,...

Gharama za Kupata Cheti cha Kuzaliwa au Kifo

0

Fahamu za kupata huduma za vyet RITA 1. Kupata Cheti cha Kuzaliwa 2. Kubadilisha Cheti cha Kuzaliwa (Old to New Birth Certificate) 3. Kuhakiki Cheti cha Kuzaliwa 4. Kupata Cheti cha Kifo 5. Kuhakiki Cheti cha Kifo

Matumizi ya NIDA/Namba ya NIDA

0

Fahamu Matumizi ya namba ya NIDA/NIN · Kuombea Kitambulisho cha Mkaazi (ZAN ID) . Kufungulia Bank Account · Kuombea Udahili kwa baadhi ya Vyuo · Kuombea Mkopo wa Elimu ya Juu ktk HESLB na/au ZHESLB · Kuombea Ufadhili wa Masomo (Scholarships) · Kuombea Kibali cha TCU (NOC Certificate) endapo utaenda kusoma Abroad · Kuombea Ajira kwenye Taasisi za Serikali na/au Binafsi · Kuombea Death Certificate ya Mzazi...

Matumizi ya Cheti cha Kuzaliwa

0

Fahamu Matumizi ya Cheti cha Kuzaliwa · Kuombea Kitambulisho cha Taifa (NIDA ID) na/au Mkaazi (ZAN ID) · Kuombea Udahili kwa baadhi ya Vyuo · Kuombea Mkopo wa Elimu ya Juu HESLB na/au ZHESLB · Kuombea Ufadhili wa Masomo (Scholarships) e.g SAMIA Scholarship, MO Scholarship etc. · Kuombea Hati ya Kusafiria (TZ Passport ID) · Kuombea Kibali cha TCU (NOC Certificate) endapo utaenda kusoma Abroad ·...

Umeshawahi kusikia kozi inaitwa Bachelor in Optometry?

0

Bachelor in Optometry ni shahada ya kwanza inayomfundisha mwanafunzi kila kitu kinachohusu macho, kuona na teknolojia ya ukaguzi pamoja na matibabu ya matatizo ya macho. Hii ni taaluma muhimu sana, kwani matatizo ya macho yamekuwa yakiongezeka kwa kasi kutokana na mabadiliko ya maisha ya kisasa, matumizi ya muda mrefu kwenye kompyuta na simu, pamoja na magonjwa ya macho yanayoletwa na...

Ijue kiundani kozi ya Dialysis Technology

0

Dialysis Technology ni taaluma ya sayansi ya afya inayomfundisha mwanafunzi namna ya kusimamia na kuendesha mashine za dialysis zinazotumika kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo, hasa chronic kidney disease (CKD) au renal failure. Dialysis ni mchakato unaosaidia kusafisha damu ya mgonjwa pale figo zake haziwezi kufanya kazi ipasavyo. Kozi ya Dialysis Technology Inalenga Nini? Dialysis Technology ni taaluma maalumu inayomuandaa mwanafunzi kuwa mtaalamu katika usimamizi wa wagonjwa wenye matatizo ya figo kupitia matumizi ya mashine za dialysis....

Bachelor in Radiology ni kozi gani na inahusu nini?

0

Bachelor in Radiology ni shahada ya kwanza inayomfundisha mwanafunzi namna ya kuchunguza mwili wa binadamu kwa kutumia teknolojia za picha za kitabibu (medical imaging) kama vile X-ray, CT Scan, MRI, Ultrasound na teknolojia nyingine za kisasa. Ni taaluma muhimu sana katika mfumo wa afya kwani husaidia madaktari kugundua magonjwa kwa usahihi kabla ya kuamua aina ya matibabu yanayofaa. Radiology yenyewe ni sayansi ya kutumia mionzi na teknolojia...

Kozi za Masters za Milioni 8 kwa Mwaka Nchini India

0

Kabla ya kueleza faida za kusoma Masters nchini India, ni muhimu kufahamu fursa zilizopo. Kozi zinazopatikana ni nyingi na za kuvutia. Miongoni mwao ni Masters in Cyber Security, Masters in Artificial Intelligence, Masters in Construction Technology and Management, Masters in Cloud Computing, na Masters in Industrial Chemistry. Wanaopendelea masuala ya sayansi ya maisha wanaweza kusoma Masters in Biotechnology, Masters in Public Health, Masters in Clinical Psychology, Masters in...

Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Optometry (BSO)

0

Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Optometry (BSO) Pass 3 kutoka katika masomo ya Physics, Biology and Chemistry or Advanced Mathematics yenye jumla ya angalau point 6. mwombaji lazima awe na angalau ufaulu wa "C" somo la Physics na angalau "D" somo la Biology na "E" katika somo la Chemistry/Advanced Mathematics. Jinsi ya Kupata Points Kwa Waliomaliza...