Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in (BSP) Physiotherapy
Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in (BSP) Physiotherapy Pass 3 kutoka kwenye masomo ya Physics, Chemistry na Biology yenye angalau point 6. Mwombaji angalau awe na ufaulu wa "C" somo la Chemistry na angalau "D" somo la Biology na "E" somo la Physics. Jinsi ya Kupata Points Kwa Waliomaliza A' Level kabla ya 2014 (A = 5; B...
Uchambuzi wa Tamthiliya ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe
JINA LA KITABU: NGOSWE: PENZI KITOVU CHA UZEMBE MTUNZI: EDWINI SEMZABA MCHAPISHAJI:THE GENERAL BOOKSELLERS LTD CHAPA YA 1: 1988 UTANGULIZI N goswe-penzi Kitvu cha Uzembe inaonyesha namna jamii inapaswa kushiriki mipango mbalimbali ikiwepo ya kisiasa kiuchumi na kiutamaduni.Mafanikio ya mipango hiyo inategemea na kujulikana kwa idadi ya watu utayari,uelewa wa watu hao kuhusu mipango husika Tamthiliya hii inaonyesha kazi ya kuhesabu watu ilivyokwama kijijini kwa mzee...
Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Sciences in Health Laboratory (BSHL)
Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Sciences in Health Laboratory (BSHL) Pass 3 kwutoka kwenye masomo ya Physics, Chemistry na Biology yenye angalau point zisizopungua 6. Mwombaji angalau awe na ufaulu wa "C" somo la Chemistry na angalau "D"somo la Biology na "E" somo la Physics. Jinsi ya Kupata Points Kwa Waliomaliza A' Level kabla ya 2014 (A = 5;...
Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Environmental Health Sciences (BSc EHS)
Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Environmental Health Sciences (BSc EHS) Pass 3 kwenye masomo ya Chemistry, Biology na either Physics au Advanced Mathematics au Nutrition au Geography au Agriculture yenye jumla ya point zisizopungua 6. Mwombaji lazima awe na ufaulu wa angalau "C" somo la Chemistry na angalau "D" somo la Biology na...
Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Nursing (BScN)
Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Nursing (BScN) Pass 3 za masomo ya Chemistry, Biology na either Physics au Advanced Mathematics au Nutrition yenye jumla ya point 6. Mwombaji lazima awe na amgalau ufaulu wa "C" somo la Chemistry and na angalau "D" somo la Biology na "E" somo la Physics or Advanced Mathematics...
Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Prosthetic and Orthotics (BSc PO)
Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Prosthetic and Orthotics (BSc PO) Pass 3 kutoka kwenye masomo ya Physics, Chemistry na Biology yenye jumla ya angalau point 6. Mwombaji lazima awe na ufaulu angalau wa "C" kwenye somo la Chemistry na angalau "D" somo la Biology na "E" somo la Physics. Jinsi ya Kupata Points Kwa Waliomaliza...
Sifa na Vigezo vya Kusoma Bachelor of Science in Radiation Therapy Technology (BScRTT)
Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Bachelor of Science in Radiation Therapy Technology (BScRTT) Pass 3 kutoka kwenye masomo ya Physics, Chemistry na Biology yenye jumla ya angalau point 6. Mwombaji lazima awe na ufaulu angalau wa "C" kwenye somo la Chemistry na angalau "D" somo la Biology na "E" somo la Physics. Jinsi ya Kupata Points Kwa Waliomaliza A' Level kabla...
Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Medical Laboratory Sciences (BMLS)
Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Medical Laboratory Sciences (BMLS) Pass 3 kutoka kwenye masomo ya Physics, Chemistry na Biology yenye jumla ya angalau point 6. Mwombaji lazima awe na ufaulu angalau wa "C" kwenye somo la Chemistry na angalau "D" somo la Biology na "E" somo la Physics. Jinsi ya Kupata Points Kwa Waliomaliza A' Level kabla...
Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Pharmacy (BPharm)
Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Pharmacy (BPharm) (ngazi ya degree). Pass tatu kutoka katika masomo ya Physics, Chemistry na Biology zenye pont zisizopungua 6. Mwombaji angalau awe na "D" kwenye somo la Chemistry, Biology and Physics. Jinsi ya Kupata Points Kwa Waliomaliza A' Level kabla ya 2014 (A = 5; B = 4; C= 3; D = 2;...
Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Doctor of Dental Surgery (DDS)
Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Doctor of Dental Surgery (DDS) ngazi ya degree. Pass tatu kutoka katika masomo ya Physics, Chemistry na Biology zenye pont zisizopungua 6. Mwombaji angalau awe na "D" kwenye somo la Chemistry, Biology and Physics. Jinsi ya Kupata Points Kwa Waliomaliza A' Level kabla ya 2014 (A = 5; B = 4; C= 3; D =...






