Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Doctor of Medicine (MD/MBBS)
Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Doctor of Medicine (MD/MBBS) Pass tatu kutoka katika masomo ya Physics, Chemistry and Biology zenye pont zisizopungua 6. Mwombaji angalau awe na "D" kwenye somo la Chemistry, Biology and Physics. Jinsi ya Kupata Points Kwa Waliomaliza A' Level kabla ya 2014 (A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1;...
Ratiba ya Mtihani Darasa la Saba 2026 (NECTA PSLE Timetable)
Mtihani wa Darasa la Saba (Primary School Leaving Examination - PSLE) ni mtihani wa kitaifa unaosimamiwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa ajili ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi. Mtihani huu hufanyika wiki ya pili ya Septemba kila mwaka. Malengo ya mtihani huu ni kutathmini maarifa na ujuzi wa wanafunzi waliopata katika masomo tofauti katika ngazi ya shule ya...
Sifa na Vigezo vya Kusoma Nursing (Uuguzi) Diploma na Cheti
Vigezo vya Kujiunga na Kozi ya Nusing Mwombaji anapaswa kuwa na Cheti cha Matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE) chenye angalau ufaulu wa masomo manne (4) yasiyo ya kidini, ikiwemo Kemia, Baiolojia, na Fizikia/Hisabati za Uhandisi. Ufaulu wa daraja D somo la Hisabati na Kiingereza utazingatiwa kama faida ya ziada.
Jinsi ya Kukata Rufaa Kama Hujapata Mkopo HESLB
Iwapo mwanafunzi/Mwombaji wa mkopo hajaridhika na ki-wango cha mkopo alichopatiwa au hajapangiwa mkopo anatakiwa kufanya nini? Fursa ya kukata rufaa hutolewa baada ya kukamilisha zoezi la kupanga mikopo Ikitokea mwombaji akakosa kwenye rufaa, atapata fursa ya kuomba tena kwa mwaka unaofuata. Maombi yote yanafanywa kwa njia ya mtandao wa Bodi ya Mikopo. Kila mwombaji anapaswa kusoma kwa makini mwongozo unaotolewa ndani ya...
NACTVET Guidebook (Diploma & Certificate) 2026/2027
NACTVET GUIDEBOOK INAKUSAIDIA KUFAHAMU VITU MHIMU Mfano 1. Kozi za Certificate na Diploma zinazotolewa kila chuo 2. Gharama/ada za kila kozi kwa kila chuo 3. Vigezo vya kujiunga na kozi zote PAKUA PDF HAPA (NACTVET Guidebook 2026/27)
Ratiba ya Mtihani Kidato Cha Nne 2026 (NECTA CSEE Timetable)
Mtihani wa Taifa Kidato cha Nne (CSEE) huu ni mtihani wa mafanikio unaotolewa kwa watahiniwa waliomaliza miaka minne ya elimu ya sekondari. Kalenda ya Mitihani Mtihani wa Taifa Kidato cha Nne (CSEE) hufanyika wiki ya kwanza ya Novemba kila mwaka. Malengo ya mtihani huu ni kutathmini ujuzi na maarifa ya wanafunzi yaliyopatikana katika masomo tofauti katika shule ya upili; kubaini kiwango...
Ratiba ya Mtihani Darasa la Nne 2026 (SFNA NECTA Timetable)
Mtihani wa Kitaifa ya Darasa la Nne (SFNA) ni tathmini ya awali inayolenga kufuatilia ujifunzaji wa wanafunzi. Ili kutoa maoni ambayo walimu, wanafunzi na wadau wengine wa elimu wanaweza kutumia ili kuboresha ufundishaji na ujifunzaji. Ratiba ya Mtihani hutolewa na Baraza la Mitihani la Taifa NECTA. Tembelea tovutu rasmi kupata ratiba: https://www.necta.go.tz/
Mambo Muhimu ya Kuzingatiwa Wakati wa Kuomba Mkopo HESLB
Haya Hapa Mambo gani muhimu yanapaswa kuzingatiwa wakati wa kuomba mkopo HESLB. Hakikisha umesaini fomu ya maombi ya mkopo Hakikisha mdhamini wako amesaini fomu yako katika eneo lake Hakikisha fomu yako imesainiwa na kugongwa mihuri na Serikali ya Mtaa au Kijiji chako Hakikisha fomu yako imesainiwa na mwanasheria au hakimu kuthibitisha taarifa zako na za mdhamini wako Vidokezo vya Kuongeza...
Documents Za Kuandaa Ili Kuomba Mkopo HESLB
Utahitaji kuandaa taarifa zako binafsi, vyeti vya elimu, nyaraka zinazothibitisha uhitaji (kama yatima au ulemavu), na taarifa za wadhamini. Nyaraka hizi zote zitahitajika kupakiwa kidijitali kupitia Mfumo wa OLAMS HESLB wakati wa mchakato wa maombi. Sifa za Kuomba Mkopo wa Elimu HESLB Ili mwanafunzi aweze kuomba na kupata mkopo wa elimu, anapaswa kuwa na sifa zifuatazo: Awe raia wa Tanzania. Awe...
SUA Second Selection 2026-2027 Majina waliochaguliwa Round 2
Orodha kamili ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa awamu ya pili kujiunga na Sokoine University of Agriculture (SUA) kwa mwaka wa masomo 2026/2027 awamu ya pili ipo mtandaoni. Vyombo mbalimbali vya habari tehama viliripoti kwamba awamu ya kwanza ya uteuzi (round one, single na multiple admission) imewekwa kwenye mfumo wa “Admissions Portal” wa SUA, ambapo wanafunzi wanaweza kuangalia kwa kutumia nambari zao za...








