Mfumo wa Maombi ya Ajira Uhamiaji – Immigration recruitment Portal

0

Mfumo wa Maombi ya Ajira Uhamiaji (Immigration Recruitment Portal) umetengenezwa ili kurahisisha na kuharakisha mchakato wa kuomba ajira katika Idara ya Uhamiaji kwa njia ya mtandao. Kupitia mfumo huu, waombaji wanaweza kujisajili, kujaza taarifa binafsi na kielimu, kupakia nyaraka muhimu pamoja na kufuatilia hatua za maombi yao kwa uwazi na usalama. Mfumo huu unalenga kuongeza ufanisi, kupunguza usumbufu na...

Majina walioitwa Kazini UTUMISHI Ajira Portal 2025

0

PDF za Orodha ya Majina waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi kutoka sekretariat ya Ajira Utumishi na Ajira Portal kwa Mwaka 2025. Hapa inahusisha taasisi mbalimbali zote ambazo zitatangazwa na sekretariat ya Ajira utumishi. PDF 1 30/12/2025 PDF 2 30/12/2025

Sifa za Ujumla Kazi Jeshi la Uhamiaji December 2025

0

TANGAZO LA AJIRA Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo:- 1. SIFA ZA MWOMBAJI i. Awe ni raia wa Tanzania; ii. Awe hana ajira au hajawahi kuajiriwa na Taasisi yoyote Serikalini; iii. Awe na Cheti cha Kuzaliwa; iv....

Maombi yatakayopewa(Fani) kipaumbele kazi jeshi la Uhamiaji mwaka 2025

0

MAOMBI YATAKAYOPEWA KIPAUMBELE: Maombi yatakayopewa kipaumbele ni ya waombaji wenye taaluma ngazi ya Shahada/Stashahada ya Juu, Stashahada na Astashahada kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali wenye fani zifuatazo:- Mtaalamu wa Lugha za Kimataifa, Utawala, Sheria, Uhusiano, TEHAMA(Cyber Security,Database Developer,System Developer,Artifical Intelligence and Machine Learning), Masijala, Ukatibu Mahsusi, Uhasibu, Ununuzi na Ugavi waliosajiliwa na Bodi, Takwimu, Uchumi, Umeme, Ufundi wa AC, Brass band, Wataalamu wa Saikolojia (Psychology) na...

Namna ya kufanya maombi na nyaraka za umuhimu kazi jeshi la Uhamiaji

0

NAMNA YA KUFANYA MAOMBI: Maombi yote ya ajira yatawasilishwa kupitia tovuti ya Idara ya Uhamiaji ambayo ni https://www.immigration.go.tz kuanzia tarehe 29 Desemba, 2025 na mwisho wa kufanya maombi ni tarehe 11 Januari, 2026. Wakati wa kufanya maombi, mwombaji anatakiwa kuambatisha (upload) kwenye mfumo wa ajira nyaraka zifuatazo zilizo katika mfumo wa PDF (kila Nyaraka moja isizidi 300Kb); ✓ Picha (passport size) ya hivi karibuni iliyo katika...

Nafasi za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi ya Muda Mfupi VETA 2026

0

VETA Tazania imetangaza mafunzo ya muda mfupi katika mradi ambao utakuwa unatoa fani za Agro-Mechanics, Umwagiliaji (Irrigation) na Teknolojia ya Uhifadhi wa Mazao Baada ya Mavuno (Post-Harvest Technology). Mafunzo yatatolewa kwa awamu, ambapo awamu ya kwanza itaanza tarehe 19 Januari, 2026. Fani Zitakazotolewa VETA Mafunzo ya ufundi stadi yatatolewa katika fani zifuatazo: Ufundi wa Zana za Kilimo (Agro-Mechanics) Umwagiliaji (Irrigation) Teknolojia...

VETA Hatua Za Kufuata Ili Kurasimisha Ujuzi Wako

0

Ikiwa mwombaji anakidhi vigezo vilivyotajwa hapo juu ataendelea na hatua za uombaji kama ifuatavyo: Kujaza fomu ili kuomba kurasimisha umahiri wake. VETA itamtaarifu muda na sehemu atakayofanyiwa tathmini ya ujuzi wake. (Endapo amekidhi vigezo) Mwanagenzi atastahili kupewa cheti endapo ameweza kuthibitisha umahiri wake katika fani na maeneo aliyotathminiwa. Endapo mwanagenzi atafaulu zoezi la tathmini ya ujuzi, atapewa mafunzo maalumu...

Orodha Ya Fani Unazoweza Kurasimisha Ujuzi Wako Kupitia Programu Ya RPL Kwa Sasa

0

Kwa sasa waombaji wanaoweza kurasimisha ujuzi kupitia Programu ya RPL wanapaswa kutoka katika fani zifuatazo: Uashi Uselemara Ufundi Magari (Makenika) Upishi Uhudumu wa Hoteli, Baa au Migahawa Ufundi Uungaji Vyuma (Welding) Ufundi Cherehani (Ushonaji wa Nguo) Ufundi Bomba Ufundi wa Umeme wa Najumbani na Ufundi wa Kunyoosha bodi za Magari VETA inatarajio kuongeza orodha ya fani kulingana na mahitaji. Mwombaji...

Sifa Gani Unapaswa Kuwa Nazo Ili Uweze Kurasmisha Ujuzi Kupitia Programu Ya RPL

0

Mwombaji awe na ujuzi wa ufundi ambao aliupata bila kupitia chuo au mfumo rasmi wa mafunzo. Hivyo hana cheti kinachoelezea kuhusu ujuzi alionao. Mwombaji awe na uzoefu usiopungua miaka mitano (5) kwenye fani yake. Mwombaji awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45. Ujuzi anaoomba kurasimisha uwe miongoni mwa fani ambazo VETA inazirasimisha kwa wakati...

VETA Manufaa Ya Kurasimisha Ujuzi Kupitia Programu Ya RPL

0

Programu ya Urasimishaji wa Ujuzi Uliopatikana Nje ya Mfumo Rasmi wa Mafunzo (RPL) inamuwezesha fundi aliyejifunza nje ya mfumo rasmi wa mafunzo kuwa na sifa inayotambulika kitaifa na inayoaminika kwa waajiri na sekta mbalimbali ikiwemo Elimu na taasisi za kifedha. Hivyo huleta manufaa mengi, ikiwa ni pamoja na: Fundi asiye na cheti anawezeshwa kupata elimu na mafunzo rasmi yaliyoratibiwa...